Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumamosi, 21 Januari 2017

🌿TIBA YA PUMU 🌿


TUMIA MOJA KATI YA HIZI
⚡Chemsha karikaryati 100gm kwa maji lita 3 , unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili,  dawa hii anza kutumia siku punu imekushika.

⚡Weka hulba kijiko kimoja kwa uji wa ngano isiyokobolewa kikombe kimoja, kunywa kutwa mara Tatu siku 9.

⚡changanya juice ya kitunguu maji na asali mbichi kwa ujazo sawa,  kunywa kikombe kimoja kutwa mara Tatu siku 30.
⚡changanya asali kikombe kimoja, Tangawizi ya unga kijiko kimoja, na siki ya asili kijiko kimoja,,,,  kula kijiko kimoja kutwa mara Tatu.

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi