Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 7 Juni 2020

Kumwita jini maiti na kumtuma



Nadhani kila mtu anaijua picha hii na tunaijua kama alama ya hatari lakini mwenye kuitengeneza alama hii ana maana kubwa sana maana kwanza kabisa alama hii huashiria hatari na ni onyo, sasa namimi nakupa onyo tarasimu hii sio ya kuchezea maana ni hatari.

Sasa nataka niwafundishe jinsi ya kutumia nembo hii:

Chora pentagram halafu ndani ya pentagram chora alama hii kasha iweke mbele yako na katikati ya alama hiyo weka mchanga wa kaburi la unae taka kumuita kasha utadondoshea damu yako katukati ya huo mchanga na utachukua mishumaa mitanomyeusi utaiwasha na kuichomeka katika kila kona ya pentagram yako kasha utasema maneno yafuatayo.

Ewe furani nakuwashia mwanga kukuita mahali hapa nataka uje haraka sana n anime kuandalia zawadi ya damu ya kuku mweusi uje unywe na tufurahi kwa pamoja, hapo utaanza kumuita kwa kusema, mfano, juma abasi njoo x666 kisha utaanza kuona mabadiliko ya wazi au ya siri kasha utaanza kumwambia ajitokeze muongee na kweli atajitokeza na utachinja kuku mweusi na utamwaga damu katikati ya saiko yako.

Hapo tayali kwa kufanya maagano nae.

Na kama utamaliza maagano nae muulize njia nyepesi ya kuwasiliana nae tena siku nyingine kama utamuhitaji, na kumbuka kumuaga mara saba maaana anaweza kukuganda na asiondoke kabisa.

Pia njia hii unaweza kuitumia katika kulipa kisasi kwa mtu, kama unahisi mtu kakuonea sana au mtu wako kauawa pia unaweza kutumia kaburi lake na kumuamsha kwenda kufanya kazi kwa alie muua, hakika atakamata mmoja baada ya mwingine na kulipa kisasi.