1.BLUE
majini wazee,wenye elimu kubwa,hupenda urafiki na binadamu pia kumsaidia binadamu.
DALILI
mtu kupenda nguo ama vitu vya blue
MTU KUOTA BAHARI SANA.
ukienda kwa mganga ama mtu mwenye kutawaliwa na mjini hawa ni rahisi kupona kwani hueshimika na majini wengi wa aina nyingine.
2.NJANO.
kiongozi wa familia na watu wachache.hawana nguvu kama wa blue ila wana nguvu zaidi ya wakijani
hupenda bishara na usafi kwa mtu mwenye kutawaliwa nao.
DALILI
mtu kupenda nguo za njano
kuongea kingeleza sana ama lugha a watu weupe.
kuota umekwenda au uko ulaya.
3.RANGI YA KIJANI.
majini wa makamo na wadogo, hupenda michezo pia ni waongo sana.
4.RANGI NYEUSI
ni majini wenye nguvu sana.asili yao ni ufalme.
DALILI
mwenye nao kupenda nguo na vitu vyeusi
kuwachukia sana wageni hasa wazungu na waarabu kwa kuwaona ni wezi tu hawana lolote.
hapendi kujipendekeza wala hupenda kuongea kilugha zaidi.
5.RANGI NYEKUNDU.
uhasama na fujo. hujifanya wakorofi sana na hawapendi uustaarabu
DALILI
kwa mwenye kutawaliwa na majini wa aina hii hupenda sana fujo na ugonvi, hasira kila wakati na kutopenda kukaa na watu wenye busara
mtu kupenda kuvaa ama vitu vyekundu
6.RANGI NYEUPE
hawa ni wenye imani sana na mungu,busara pia wasuruhishi wa migogoro
DALILI
mtu kota anasoma dini ama kufanya ibada ama kuona nyumba za ibada