Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 10 Julai 2020

Tarasimu ya kumfanya mpenzi akupende na akutii ama kupendwa na watu wote


a)hakika hapa ni penyewe, kama kuna mtu unataka akupende sana au akutimizie haja yako au mke au mume akupende kupita kiasi

b)Ama unataka kupendwa na kila mtu iwe kazini,nyumbani,ama sehemu yoyote mapenzi ya kupitiliza

 basi chora tarasimu hii kwa kutumia zafarani nyekundu na marashi ya bint sudani,(vinapatikana duka lolote la dawa za kiarabu)kisha isomee jina hilo mara 3000, na usom"Barahatii" mara tatu kisha ifunge kama azima na ukaitundike katika mti mkubwa kwa manuiz unayokusudia.

vizuri zaidi ni kuchora mbili moja juu ya mti na ya pili kaizike kwenye maji, hakika utaona ajabu kabisa.

Na pia ukitaka kupendwa na watu fanya kama nilivyoelekeza kwenye jina la mhusika unaweka *wote kwa pamoja*  na kisha uwenayo kama azima kila unapotembea.

Kumbuka wakati wa kufunga au kuzika ama kuiweka mfukoni ufanye manuizi unayotaka au kwenye wallet unuie manuzi unayoyahitaj.

Hakika utaona maajabu.