Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Septemba 2016

TIBA NDOGO YA KUJIFUNGUA KAMA UMEFUNGWA KICHAWI.

uchawi na wachawi wana vitu vibaya na hatari sana ambao kama utakuwa huna kinga,mvivu wa kufanya ibada na aliyekuroga amekudhamilia
basi huwa anakufunga ili usikumbuke wala kutafuta tiba usipate msaada na uendelee kuteseka na kuharibikiwa.
UTAJUAJE KAMA UMEROGWA
1.uchovu sugu
2.kuhisi maumivu bila sababu
3.kutoka mabaka meusi yasiyosikia dawa
4.kuwa muoga kupitiliza
5.kuweweseka usiku
6.kuwasha mwili mara kwa mara kisha inapotea
7.kuaka huku umerishwa vitu.
8.kutofanikiwa ktk biashara ama shuhuli zako ingawa unafanya ibada sana na unaomba sana dua
9,kutopata kazi ingawa una sababu zote za kupata kazi.
10.kufungwa kizazi kwa kutopata ujauzito
11.kukimbiwa na wachumba,migogoro ktk ndoa isiyo na sababu,pesa kupotea bila sababu.
12.kuwa na maradhi ya kuhamahama na kutopona ingawa unatumia dawa za hospitali. unakuwa mtu wa kupoteza pesa kila kukicha
KUFUNGWA NINI?
mchawi anapokuroga huwa anakufunga ili usikumbuke kwenda kwa tabibu wala kumuamini tabibu yeyote 
au unapopewa taarifa ya kwenda kwa tatbibu na kupanga safari. muda unapofika hupata homa au uvivu au roho ya kudharau na kuona unapoteza muda kisha baada ya muda unajilaumu na kujijutia
TIBA NDOGO YA KUJIFUNGUA
WAKATI WA KULALA CHUKUA UKINDU MMOJA KISHA NUIA.
SEMA( MM FLAN BIN FLAN NIMEFUNGWA ILA ALIYENIFUNGA SIMJUI,NA SIJUI KAMA MWANAUME AU MWANAMKE, BASI NA MM NAJIFUNGA.)KISHA FUNGA UKINDU HUO NA UWEKE CHINI YA MTO HALAFU LALA.
UNAPOAMKA ASUBUHI SEMA NILIJIFUNGA MWENYEWE NA NILIFUNGWA NA NISIYEWAJUA. BASI NIKIFUNGUA NIFUNGUE VIFUNGO VYOTE NA NIWE HURU. KISHA FUNGUA HALAFU HIYO KAMBA KAITUPE ILA SIO JALALANI
KWA UWEZO WA M/MUNGU UZITO UTAPUNGUA NA UTAPATA AKILI NA NGUVU YA KUTAFUTA MSAADA WA KITIBA