Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Septemba 2016

MAAJABU MAKUBWA YA PETE YENYE KITO CHA JADE

MAAJABU MAKUBWA YA PETE YENYE KITO CHA JADE

                                                        Kito Hiki Kinaitwa ( Jade ) 


           Faida za kito cha jade


Mwenye Kuvaa Kwenye Pete Na Akaingia Kwenye Uwanja Wa Vita Mtu Huyo Hatodhurika Hata Na Ncha Ya Panga Yani Mwenye Kuvaa Hatoweza Kukatwa Na Upanga Wala Risasi.

 Pia Mwenye Kuivaa Pete Yenye Kito Cha ( Jade ) Mtu Huyo Akaingia Kwenye Pango Lenye Majini Majini wowote Watamuogopa Na watakimbia ovyo

Pia Mwenye Kutaka Aone Ufalme Wa Majini Basi Akiweke Kito Hiki Chini Ya Mto Ataona Ufalme Wote Wa Majini . Pia Kama Ukiivaa Pete Yenye kito cha Jade Mtu Huyo Atakuwa Na Mahaba Na Kila Mtu hakuna atakayemchukia,akiingia sehemu hata kama kuna wakubwa watu wote hunyamzishwa,atakuwa na mamlaka n.k... 


Vito Hivi Tunavyo ukihitaji wasiliana nasi
+255 653 532036 watsap,viber na imo
+255 764 995259

au barua pepe
tibazetutz@gmail.com