Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 7 Februari 2016

UKITAKA KUJUA UKUBWA WA UKE AU UUME WA MCHUMBA WAKO KABLA YA NDOA


Habari zenu wapendwa
natumai ni wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa

~Katika moja ya makosa ambayo vijana wengi wanayakosea ni pale wanapokuwa wanatafuta wachumba,zipo sifa za kifalsafa ambazo zinapaswa zizingatiwe baada ya kuzingatia yaliyowekwa kisheria au urembo wa sura.
tibazetu.blogspot.com
~Kijana uwe wa kike au wa kiume ni lazima uijue japo kwa uchache elimu ya maumbile ya ndani kwa kusoma maumbile ya nje{yaani kwa kumtazama usoni na miguuni tu au maumbile yaliyoruhusiwa kumtazama mwanamke au mwanaume kabla ya kuingia naye kwenye ndoa.

NAMAANISHA HIVI
~Katika uso na miguu kuna siri kubwa sana katika kujua mengi katika hali za wanaadamu yaani namaanisha kujua maumbile yake ya sehemu za siri ukubwa na udogo wa uke na uume,kujua kama anayo bikra au laa au hata kujua kama anaweza utundu awapo kitandani au atakuwa ni kama gogo.

~Ukiujua utaalam huu utakufanya utambue huyu fulani maumbile yake ya ndani yako vipi yatakufaa au hayakufai.

~Mfano uislam umeruhusu kuuliza mpaka nywele za mchumba unayetaka kumuoa kama ni ndefu au fupi,laini au ngumu,lakini kwenye suala la maumbile ya kike au ya kiume wazee wenye elimu hii wanaweza kuwaongoza vijana wao kuhusu jambo hili.
                                                  tibazetu.blogspot.com
UKITAKA KUMJUA MWANAUME UMBILE LAKE LA SEHEMU ZA SIRI[UUME]
Hii ni elimu kubwa sana ambayo hata nikiiweka hapa kama ilivyo tutajaza kurasa zote bila kuisha lakini acha nikugusie kidogo na wewe upate kujua yaliyo muhimu.

~~Kwanza tambua kuwa maumbile yetu ya siri sisi wanaume yamegawanyika sehemu tatu
1.Uume mkubwa[TEMBO]

2.Uume wa kati[FARASI]

3.Uume mdogo[KONDOO]

~Kila mwanamke ana  mapendeleo yake na hisia zake kuhusu ukubwa wa uume ingawa inategemea na uwezo wa kufanya kazi,wengi hudhani uume mkubwa au mnene ndiyo madhubuti kuliko mdogo,wengine wao hudhani kuwa nyembamba ndefu ndiyo madhubuti zaidi,lakini utendaji kazi ni suala linalojitegemea,lakini ile inayomuingia sawasawa na kugusa kona zote za mwanamke anayetaka kukunwa ndiyo yenye kufaa na kikubwa ni kujua tuu mbinu gani zitakazomfurahisha mwenzio.


UKITAKA KUJUA UKUBWA WA UUME WA MUMEO MTARAJIWA

Kama wewe ni mwanamke na unataka kuchunguza maumbile ya mume wako mtarajiwa si lazima umvulie chupi ndiyo ujue kuwa ana ukubwa au udogo kiasi gani,kama hujapata size yako utawavulia wangapi?FANYA HIVI
                                               tibazetu.blogspot.com
CHUNGUZA MIGUU YAKE

Tazama kidole gumba cha mguu wake,ukiona ana dole kubwa basi ndiyo maumbile ya uume wake yanaashiria ukubwa ule wa kidole gumba cha mguu,na kikiwa ni kidogo au kati kwa kati au wembamba na unene basi na maumbile yake ni hivyohivyo.Naamini umepata picha.


UKITAKA KUJUA UKUBWA WA UKE WA MKEO MTARAJIWA
CHUNGUZA MIDOMO YAKE

Ili mwanaume ujue ukubwa wa maumbile ya mwanamke unapaswa uchunguze mdomo wake  kwani huu ndiyo utakaokupa picha ya maumbile yake kwani ukubwa au udogo wa mdomo wake basi ndiyo picha hiyohiyo ya maumbile yake sasa chunguza kama hiyo kitu itakufaa au laa.

~Kama ilivyo kwa mwanaume hata mwanamke pia maumbile yake yamegawanyika katika sehemu tatu

tibazetu.blogspot.com
1.UKE MNENE WENYE KINA KIFUPI[Huyu yeye atapenda uume mwembamba na mfupi]

2.UKE ULIOLALA MWEMBAMBA WENYE KINA KIREFU[Huyu yeye atapenda uume mnene na mrefu]

3.UKE MNENE[Huyu yeye atapenda uume mkuubwa ndio anahisi utamfikisha]

~Katika aina hizo 3 ndani yake zimegawanyika katika maumbile tofauti tofauti,yaani nyingine ipo kwa juu kidogo,nyingine kwa chini kidogo,nyingine katikati,ipo iliotuna,ipo iliobanda n.k

Tuseme tuu ukweli mara nyingi inapokuwa mume na mke ni tofauti wengi hujikuta wanatafuta njia mbadala

IKIWA NIMEPATA TOFAUTI JEE NIFANYAJE?
~Ikiwa umepata mwenzako au umechunguza kwa muongozo niliokupa lakini uchunguzi huo ukakushinda na umepata tofauti na wewe,tafadhali usimuache mkeo au usimkimbie mumeo na kwenda kutafuta mchepuko kwani kwenye dini ni kharamu na pia kumbuka magonjwa ya maambukizi ni mengi unachotakiwa kufanya ni kujifunza elimu nyingine ya kuyashughlikia maumbile tofauti na ulivyoyatarajia nanyi mtafaidi ndoa yenu na kudumu mpaka kifo kitakapowatenganisha.
tibazetu.blogspot.com

Kama una ushauri wowote au maswali usisite
+255 653 532036
+255 764 995259
au tuandikie
tibazetutz@gmail.com