Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 4 Februari 2016

KUWASHWA UKENI,KUTOA MAJI YENYE HARUFU MBAYA NA KUUFANYA UKE UWE MNATO

TATIZO LA KUWASHWA UKENI

~Tatizo hili limekuwa likiwasumbua sana baadhi ya wanawake,wamekuwa wakiwashwa sana sehemu za siri na wakati mwingine kutokwa na mapele yanayotoa majimaji au harufu mbaya.

~matatizo haya yanaweza kutibika kwa tiba zetu za asili na miongoni mwa dawa ambazo zimewasaidia wanawake waliowahi kukutwa na ugonjwa huo ni muarovera.

MAANDALIZI
~Chukua muarovera na uusage vizuri hadi yapatikane majimaji yake 

~chukua pamba au kitambaa laini chovya kwenye majimaji hayo ya muarovera na ujipake maeneo yenye matatizo

~fanya hivyo asubuhi na jioni  kila siku mpaka pale matatzo yatakapokwisha

tiba hii pia ni nzuri kwa muwasho wa hata sehemu zingine za mwili na mapunye pia.

KUONDOA MAJIMAJI UKENI NA KUUFANYA UKE UWE MNATO

~Kuna baadhi ya dada zetu wao hupatwa na matatizo ya kutokwa na majimaji ukeni na wakati mwingine majimaji hayo huwa mazito kama maziwa  na huwa yanatoa harufu kali sana kiasi cha kuwa ni kero kwa mwanamke husika na hata kwa mwenza wake.shabu huweza kuondoa shida hii km utaisaga na kupata unga wake.

MAANDALIZI
~itwange shabu upate unga wa kutosha 

~jisafishe vizuri sehemu zako za siri kwa maji ya vuguvugu

~pakaa unga wa shabu kwenye mashavu ya uke na mlangoni kila siku mara2 hilo tatizo litatoweka 

faida ya unga wa shabu huufanya uke uwe tight mithili ya msichana bikra.