Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Septemba 2016

PETE YENYE KITO CHA BLUE BAHARI


LEO NITAZUNGUMZIA PETE YENYE KITO CHA BLUE BAHARI.Image result for crystals rings

Watu wengi huamini kuwa kuvaa pete fulani ni ushirikina,na wakati huohuo hawajui kazi za pete na zinafanyaje kazi,na ukichunguza zaidi utagundua anayesema hivyo hata ukimuuliza maana ya ushirikina hajui wala jinsi gani ukivaa pete unakuwa mshirikina pia hajui bali huyabeba moja kwa moja mafundisho aliyoyasikia sehemu fulani bila kuhoji wala kuul;iza.

Miongoni mwa maajabu makubwa ambayo ipo basi yanapatikana katika madini yajulikanayo kama Crystals

Madini haya au  au mengine ambayo yapo katika rangi tofauti yana maana zake na hufanya kazi sana katika hali ya kutoonekana,na inaamika kwamba  yeyote mwenye kuvaa madini mwilini mwake hatodhurika na nyoka yeyote akiwa porini.

Leo nitagusia kidogo kuhusu pete au cheni ya silver yenye kito cha bahari husaidia vifuatavyo
1.Hukulinda dhidi ya mashetani wote wabaya
2.hukulinda dhidi ya mchawi yeyote
3.hukuondolea ndoto mbaya
4.huongeza kipato katika kazi zako
5.hufanya maadui wa kichawi kukuogopa



Muhimu
.Rangi ya pete hutegemea na spirit yako,kwani kila mtu ana rangi yake ndyo maana wapo wanaopenda rangi za blue,wengine nyeupe,nyekundu nk ili mradi tunatofautianma


usipite bila kuacha maoni yako!

whatsap viber na imo
+255 653 532036

+255 764 995259