Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 14 Novemba 2016

DAWA YA KUONDOA CHUKI KWA WATU NA KUSAFISHA NYOTA YAKO

kuondoa nuksi,chuki,husda,kusafisha nyota,kuwa na mvuto kwa watu pamoja na kumvuta mtu au watu katika biashara yako chukua mchekea,mlipu,mpapuo,nyota nyeupe,mvuto,mwita,mfunguo,mvuma nyuki wa unga,mnamata,{karafuu maua, pangamanati na baruti} kulingana na haja yako utazichanganya zote kwa utaratibu ufuatao kisha utazichoma kwa manuizo

KWA MVUTO WA KAZI
utachoma dawa huku unanuiza na moshi uwe unakupiga mwili mzima kisha nenda kazini {hzo za kwenye mabano usichanganye}

KWA KUMVUTA MPENZI/RAFIKI kwa kumvuta mtu awe mpenzi,ndugu au rafiki aliyekuacha au kupotea siku nyingi, utachoma dawa zote hizo kwa nia yako huku unanuia mtu huyo aweze kuja haraka basi atakuja hata kama yupo umbali wa kutembea kwa siku nzima

KWA BIASHARA
utachoma dawa zako hizo zote huku unanuia wakati moshi unafuka dawa hiyo ikusaidie kuvuta wateja katika duka au biashara yako yoyote

mawasiliano
0653 532036
0764 995259
tibazetutz@gmail.com