Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 3 Novemba 2016

TEKNOLOJIA YA KICHAWI

Kitendo unachokiona hapa sio cha edit ya kompyuta,Bali hata wewe unaweza kufanya ila ni sehemu ya teknolojia za kichawi,

Chukua maji ujaze chungu kikubwa,chuma majani mabichi ya makasikasi UA wondering Jew kwa kiingereza yaitwavyo,

chukua mafuta ya mahindi kiasi kama vijiko viwili,weka dam yoyote hata ya mbuzi kama kikombe kimoja,usiweke chumvi hayatochemka,KUNI za kuchemshia ni lazima iwe miti iliyokatwa juu ya kaburi la mwanamke,katika kuni kumbuka kuchanganya mifupa ya mnyama ulioweka damu yake, hapo maji yatatoa mvuke ila hayatokuwa na joto hata kidogo na utaweza kuingia kwenye maji hayo bila kuungua