Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 3 Novemba 2016

UCHAWI WA KUMUUWA MTU ANAYETEMBEA NA MKE WAKO

Uchawi huu upo na huwa wanafanya hivi

Wanachukua mti wa mgurusi(mti uliootea juu ya mti mwingine).

Wanachukua mizizi ya mti uitwao ruhumyi.. chukua maji ya chini bahari au ziwa(ziba mdomo wa dumu. zamisha majini kisha achia maji yaingie. yakijaa ziba tena.)

Wanaponda mizizi yote kisha anayaoga mwenye mke maji hayo muda mchache kabla hawajaingiliana kimwili.. usisahau kunuia hitaji lako la kuua..

MATOKEO.
atakayekutana kimwili na mtu aliyenuizwa atakufa papo hapo. hatatoka hata kifuani/chumbani.