Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 31 Oktoba 2016

JE UNAJUA KUWA MIDOLI UNAYOIJAZA NYUMBANI KWAKO INA MAJINI NDANI YAKE?

Natumai uko salama ndugu msomaji na leo nataka nikujuze kuhusu midoli ambayo wengi huipenda kuwanunulia watoto wao,au kuijaza ndani kama mapambo

kwanza kabisa ndiyo maana hata mjumbe wa Mwneyez Mungu Mtume Muhammad s.a.w alikataza watu wasiweke midoli majumbani mwao pana hekima kubwa sana hapa isiyojulikana'

Mapepo/majini wao ni roho ambazo zinaweza kujigeuza na kuingia kwenye mwili wowote wanaoupenda na ndyo maana binadamu wengi pia huingiwa na majini hao,sasa miongoni mwa vitu ambayo majini hupenda kuingia kwenye maumbo hayo ni midoli, mapepo hupenda kukaa ndani ya misanamu na kufanya huo kama mwili na makazi yake.

ukitaka kuamini haya ninayoyasema kwa kujionea mweneyewe kwa macho yako fanya hivi

uwe unachukua mdoli wako na uwe unaliambia maneno haya huku unalitazama kwenye macho yake kwa siku41 mfululizo utaona maajabu makubwa sana na usije ukashangaa unaihama nyumba kwa hofu.


sema maneno haya ''wewe blodmeli nibadilishie kinyago hiki''


                                                                 ONYO
KAMA NI MUOGA,UNA MAGONJWA KM PRESHA,WASIWASI,NK USIJARIBU

0653 532036 whatsapp