Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 19 Oktoba 2016

MABILIONEA NA UTAJIRI WA SHETANI!

Mabilionea maarufu duniani wamethibitisha kujipatia utajiri wao kupitia ushirikiano na shetani kama inavyofafanuliwa hapa kupitia kauli zao! Naona afya yangu imezoroteka nitafanya mkataba na shetani (faust bargain) ili kurejesha afya yangu.”- Anasema bilionea Andrew Carnegie. “Watu hawa wanaomwabudu lusifa (faust bargain) mafanikio na utajiri wao umekuwa mkubwa kupindukia anasema prof.Richard sharpe mkurugenzi wa mradi wa watu wenye matukio yasiyo ya kawaida (EEP). Profesa sharpe anashuhudia watu walioko kwenye mradi wake (EEP) kupona UKIMWI, kansa, kisukari, B.P, n.k. hasa wale wanaoamua kufanya agano na shetani lusifa (faust bargain)

“Katika ibada 50 za kilusiferi,ibada ya 7 ni ya kufunga mkataba na shetani ili kupata pesa/utajiri haraka, ya 5 ni ya kurejesha afya iliyoharibika na anapenda kuitumia Dr.ANTONY FOCCI (M.D) ambaye miaka kadhaa iliyopita alitamka kugundua dawa inayopelekea kutibu ukimwi, ingawaje alikaririwa kutamka kuponya wengi. “Ibada ya 3 ni ya mamlaka na madaraka na ukuu, viongozi wengi wa vilabu vya soka duniani na wana mitindo hufanya ibada hii ya tatu. Tigerwoods bingwa wa golf duniani anajulikana kwa kutembea na ibada hii ya 3 mfukoni mwake