Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 31 Oktoba 2016

JE UNATAMANI KUMUONA JINI NA KUZUNGUMZA NAE AKUSAIDIE SHIDA YAKO?

Habari mpendwa msomaji wa makala zetu katika blog yako uipendayo
tibazetu.blogspot.com
0653 532036 whatsapp


Watu wengi wamekuwa wakipiga simu kuulizia jinsi gani wanaweza kufanya ili kumuona jini na kumueleza shida zao ili wapate msaada kutoka kwa viumbe hao,hapa chini nimeweka utaratibu mwepesi wa kuweza kutekeleza hayo ikiwa na wewe ni mmojawapo miongoni mwao wenye kutamani.


                  TAFUTA
 UNGA WA PAMBA NYEUPE 
JIVU LA MOTO ULIOUNGUZIWA PORI HASA ULE WA KIANGAZI(BUPI)


CHORA PICHA KAMA HII KATIKA ARDHI KWA KUTUMIA UNGA HUO NA UNAWEKA KATIKATI YA PICHA CHUNGU AMBACHO KITAKUA NA VIJITI 7 VYA MZIZI WA MBAAZI. 


WEKA MAANDALIZI YAKO KATIKA CHUMBA CHA GIZA NA ASIINGIE MTU ILA WEWE TU.

UTAKUA UNAINGIA HUMO KILA SIKU USIKU TUU NA UNALALA HUMOHUMO HUKU UNASEMA MANENO HAYA MARAA NYINGI.

1,KARIIRI JILBU JINNI BIHAQI HADHIHI SUURA. 



HAITAFIKA SIKU7 ATAKUIJIA KIUMBE NA UTAMWAMBIA SHIDAYAK