Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 31 Oktoba 2016

NJIA NYEPESI YA KUIDHIBITI CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA YAKO.

0653 532036 WHATSAPP

Chuma ulete ni miongoni mwa majini wanaoandaliwa na binadamu ili kuwatumikisha katika kazi nzima ya kuiba vitu kwa watu na kumletea mhusika wake kwa mkataba maalum waliokubaliana

unaweza ukawa unafanya biashara lkn kila ukipiga hesabu unakuta kupungukiwa na kiasi chja pesa katika mazingira ya kutatanisha pia hata vitu vya namna nyingne tofauti na pesa

Zipo njia za kudhibiti chuma ulete, si rahisi kuzielezea zote kwa wakati mmoja, leo nitaelezea njia hii ifuatayo ;


Chinja kuku mweupe halafu chukua firigisi.


 Pasua hiyo firigisi halafu weka ndani yake shilingi elfu moja ya noti .


 Baada ya hapo nenda kaichimbie chini ya ardhi kwa muda wa siku sita.

 Siku ya saba nenda kafukue hiyo firigisi, chukua shilingi elfu moja yako na uiweke kwenye droo ya biashara yako na ututukanga.


Basi hakuna mchawi yoyote Yule ataweza kuja kuiba hela kichawi kwenye biashara yako au kumtuma jini chuma ulete.