Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumamosi, 12 Novemba 2016

SAA NA KAZI ZAKE


 
JUMA TATU.

           SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI.

SAA MBILI NI SAA  YA WATU AU ADUI AU KUVUNJA NDOA YA MTU.

          SAA TATU NI SAA YA MAPENZI.

           SAA NNE  NI SAA YA VITA NA ADUI.

           SAA TANIO NI SAA YA VITA NA UADUI.

           SAA SITA NI SAA YA KUTOA MAJINI.

           SAA SABA NI SAA YA KUFUNGA HIRIZI.

           SAA NANE NI SAA YA  KUFUNGA NDOA .

           SAA TISA NI SAA YA KUFANYA KAZI YOYOTE UTAFANIKIWA.

      SAA KUMI NI SAA YA KUUZA NA KUNUNUA.

      SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA WATU AU WANANDOA.

      SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA  KUINGIA KWA WAKUBWA  AU KWENDA KUOMBA KAZI SEHEMU

JUMA NNE.
SAA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA AU NI SAA YA KUROGEA  AU KUTUMA MAJINI.
    
SAA MBILI NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA AU KWENDA KUOMBA KAZI.

SAA TATU NI SAA YA MAHABA.

SAA NNE NI SAA YA KUTENGANISHA NA NI SAA YA UCHAWI.

SAA TANO NI SAA YA MAPENZI AU KUOGA DAWA ZA MAPENZI AU KUFANYA
 DAWA YOYOTE YA MAPENZI.

SAA SITA NI SAA YA VITA AU KUMPIGA ADUI 

SAA SABA NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA.

SAA NANE NI SAA  YA KUTENGANISHA PIA NI SAA YA UCHAWI.

SAA TISA NI SAA YA KWA WAKUBWA .

SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI NA KUOSHA DAWA.

 SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA NA KUROGA.

SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI NA KUOSHA DAWA YA MAPENZI.

JUMA TANO
SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI.
   
 SAA MBILI NI SAA YA MAPENZI.

 SAA TATU NI SAA YA  KUANZA JAMBO LOLOTE UTAFANIKIWA.

 SAA NNE NI SAA YA MAZINDIKO.

 SAA TANO NI SAA YA KUKUABILIANA NA VIONGOZI AU MAFARAKNO YA NDOA.

  SAA SITA NI SAA YA KUHARIBIKA KWA NDOA AU MAFARAKANO YA NDOA.

  SAA SABA NI SAA YA KUPENDA WANAWAKE.

SAA NANE NI SAA YA KUKOSA KILA KITU CHOCHOTE KILE 
UTAKACHOKIFANYA UTAKOSA.

SAA TISA NI SAA YA KUANDAA VITA AU KUKUSANYA SILAHA.

SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI 

 SAA KUMI NA MOJA NI  SAA YA KUNYWA DAWA.

SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA KUTIMIZIWA HAJA.

      ALHAMISI.
   SAA MOJA NI SAA YA KUANDIKA MAKOMBE YA MAHABA.

   SAA MBILI NI SAA YA WASIWASI.

   SAA TATU NI SAA YA KUANZA SAFARI UTAFANIKIWA.

  SAA NNE NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA.

  SAA TANO NI SAA YA KUVUNJA NDOA AU KUFARAKANISHA.

  SAA SITA NI SAA YA MAPENZI 

SAA SABA NI SAA YA KUFUKUZA MAJINI AU KUMWANGAMIZA JINI.

  SAA NANE NI SAA YA MAPENZI.

  SAA TISA NI SAA YA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.

  SAA KUMI NI SAA YA KUVUNJA NDOA .

  SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA MAPENZI.

SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI.

        IJUMAA.
     SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI .

    SAA MBILI NI SAA YA KUBAINI AU KUFICHUA UCHAWI.

   SAA TATU NI SAA YA MAPENZI NA KUOSHA DAWA AU KUOGA DAWA.

  SAA NNE NI SAAYA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.

 SAA TANO NI SAA YA KUWAONA  VIONGOZI AU KUOMBA KAZI.

 SAA SITA NI SAA YA KUFUNGA NDOA.

SAA SABA NI SAA YA KUWAONA VIONGOZI AU KUOMBA KAZI.
 
SAA NANE NI SAA YA MAPENZI.

SAA TISA NI SAA YA KUANZA SAFARI.

SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI.

SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUOMBA JAMBO LOLOTE NA UTAFANIKIWA 
LIWE LA KHERI AU L SHARI.

SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI.

JUMAMOSI.
     SAA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.

     SAA MBILI NI SAA YA MAPENZI.

     SAA TATU NI SAA YA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.

    SAA NNE NI SAA YA KAZI ZOTE NZURI UKIFANYA UTAFANIKIWA.

   SAA TANO NI SAA YA KUFUNGA NDOA .

 SAA SITA NI SAA YA MAPENZI 

 SAA SABA NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA.

 SAA NANE NI SAA YA KUFUKUZA MAJINI.

  SAA TISA NI SAA YA KUWAPELEKA WATOTO KWA WALIMU.

SAA KUMI NI SAA YA KUVUNJA NDOA AU KUFARAKANISHA .

SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUFICHUA UCHAWI.

SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI.


                       JUMA PILI
    SAA MOJA NI SAA YA KULIPA MADENI.

   SAA MBILI NI SAA YA KUTAFUTA MCHUMBA.

  SAA TATU NI SAA YA KUFUATILIA UTAKALO NA UTAFANIKIWA.

 SAA NNE NI SAA YA KUFANYA MAMBO YOTE MAZURI.

 SAA TANO NI SAA YA NUKSI AU  KUFARAKANISHA.

 SAA SITA NI SAA YA KUFANYA BIASHARA.

 SAA SABA NI SAA YA VITA.

SAA NANE NI SAA YA KINGA.

SAA TISA NI SAA YA MAPENZI NA KUOGA DAWA

 SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI. 

SAA KUMI NAMOJA NI SAA YA KUTAFUTA MCHUMBA.

SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA KUFANYA DAWA ZA MITI NA UTAFANIKIWA.