Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 28 Novemba 2016

KUWAGOMBANISHA WATU KWA KUTUMIA SINDANO NA MISHUMAA MEUSI

                                                         Tahadhari 

chochote utakachosoma humu unatakiwa ukitumie kukifanya katika njia za kusaidia na bila kumuonea mtu,mfano aliwahi kunijia mama mmoja mwenye watoto watano ambaye ametelekezwa na mumewe baada ya mume kupata changudoa aliyemfanyia dawa na mume kuitoroka familia na kuiacha kwenye dhiki kubwa,ilitumika njia hii nyepesi na sasa familia imerudi pamoja na wanaishi kwa furaha na amani.laa kama utafanya kugombanisha watu bila sababu za msingi SIHUSIKI KWA MATENDO YAKO NA HAKIKA MALIPO YAKE UTAPATA HAPAHAPA DUNIANI.

Tuendelee
chukua sindano za kushonea 9 ziwe mpya kabisa

kila sindano moja kata katika vipande 3

Chukua karatasi andika jina la kila mmoja mara tatu kwenye karatasi hiyo

zilaze vipande vyote vya sindano juu ya karatasi hiyo kisha chukua mishumaa meusi5

weka mishumaa juu ya karatasi na uuwashe mshumaa mmoja kila siku huku umekaa hapo na unanuia unayotaka ukimaliza acha uwake mpk uishe

siku utakayomaliza kuwasha mishumaa utapata majibu yako.


cc