Mfumo wa uzazi wa mwanamke una matatizo mengi kama kuvimba kwa mirija ya uzazi.
Chanzo cha uvimbe
1. Maumivu chini ya kitovu katika mirija ya uzazi
2. Kutokwa na uchafu ukeni wenye rangi ya njano,brauni au kahawia
3. Maumivu ya kiuno na mgongo
4. Mwili kuhisi uchovu kupita kiasi
5. Hedhi kuto ereweka
6. Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa nk.
MLONGE hutumika kutibu uvimbe kwa sababu hupambana na uvimbe uvimbe mwilini.
JINSI YA KUANDAA MLONGE
Chukua majani
ya Mlonge kisha ya kaushe sehemu ambayo hakuna mwanga wa jua (Ndani) yaki kauka saga upate unga wake.
Tumia kijiko kidogo cha chai kunywea kwenye maji ya moto,Uji au supu kikombe
kimoja Asubuhi,Mchana na Jioni kwa muda wa siku 9.
Nb. Hutibu
A) Kuziba kwa kuta za uzazi
B)Kuto kwenda haja kubwa
C)BawAsiri nk