Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 28 Novemba 2016

SHABU YA YEMEN NI KINGA YA MCHAWI ILI ASIINGIE NYUMBANI KWAKO

wengi wamekuwa wakiniuliza juu ya dawa gani ambazo wanaweza kutumia kama kinga ya kuzuia wachawi wasiweze kuingia majumbani kwao na kuwachezea kichawi nyakati za usiku,nami nimeona ni vyema niwajibu hapa ili kwa pamoja muweze kufaidika juu ya hili.
SHABU YA YEMEN

hii ni dawa ambayo ina gharama nafuu na rahisi kupatikana katika maduka yote ya dawa za asili na kiarabu,dawa hii pindi itakapofanyiwa dua fulani maalum huwa na nguvu kubwa ya kumdhuru mchawi yeyote atakayekuja kwa njia za giza na kutaka kuingia kwenye nyumba yako kwa ajili ya kusababisgha madhara ya kichawi.Dawa hii ilivyo ni kama chumvi ya mawe na hupatikana kuanzia kipimo cha shilingi 500 na kuendelea.
Kama utahitaji kutengeneza dawa hii kipimo cha 500 tu kinatosha na utafanya kama ifuatavyo
-CHUKUA SHABU KIASI CHA KIGANJA KIMOJA CHA MTOTO
-ZIFUNGE KWENYE KITAMBAA KIPYA CHEUPE CHA COTTON
-SHIKA MKONONI NA USOMEE SURA HIZI HUKU PUMZI INAYOTOKA MDOMONI IKIGONGA KWENYE KITAMBAA HICHO CHENYE SHABU
1.Aal imraan 185
annisaa 78
an aam 93-94
aaraf 34
furqaan 22
ankabut 57
qaaf 19
rrahman 26-27
waaqiah 60
qyaama 26-35
juma’a 8
jinni yote
kisha baada ya hapo kitambaa hicho kizike upande wa kibla wa nyumba yako nje kwenye pembe ya kulia.
mchawi akija kwenye nyumba atatenguka kiuno na hatoweza kuingia hapo ndani.