Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 18 Novemba 2016

DAWA YA MAPUNYE,MABAKA NA MARADHI MENGINE YA NGOZI

Chukua dawa zifuatazo kisha zichanganye pamojaa kisha tikisa vizur hadi zichanganyike vizur kabisa
 Dawa hzo ni 
SIKI YA EPO
KITUNGU MAJI
KITUNGU SWAUM
MAFTA YA NDIMU
MAFTA YA NAZ
MAFTA ZAITUNI
KIBIRITI UPELE
NDAMWAI

Dawa hiz upime vijiko vitatu vya chakula ujazo sawa
Kitungu maji ukikamue upate juis yake changanya na Dawa  bila kutia maji anza kujipaka sehem zilizoasirika kutwa Mara mbili had tatizo liishe