Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Septemba 2016

ZINDIKO KALI LA MWILI NA NYUMBA YAKO


Image may contain: cat
0653 532036Whatsapp,viber na imo
0764 995259

(Mbaya yeyote atakekukusudia ubaya atauwawa baada tu ya kukataa kutamka hadharani lengo lake)

Kwa wale mnaopenda haya mambo mimi si mchoyo kushea na nyinyi elimu niliyonayo juu ya haya mambo,kazi kwako

na kwa wale waumini wanaoona ni ushirikina basi mpite tuu sio mahali penu hapa.

Hii ni kinga hatari sana,kinga hii humlinda mtu na nyumba yake kuanzia mita 100 kabla ya hatari kumfikia

KUMBUKA KINGA HII INAUA KILA MCHAWI ATAKAYEKUKUSUDIA UBAYA
                                VIFAA
~Paka mweusi au jogoo mweusi aliyekomaa vizuri
~jivu la moto uliozimika wenyewe

         HATUA
Chukua majivu yamwage chini vizuri
Inua mguu wako wowote kanyaga jivu hilo mpaka unyayo wako uonekane kwenye majivu

kisha chota kiasi cha majivu hayo kidogo kwa kutumia kidole gumba na cha shahada

kinachofuata mchukue paka au kuku huyo ila ukipata paka ni bora zaidi

chukua lile jivu mtilie huyo kuku au paka kwenye njia yake ya haja kubwa ni kiasi kidogo

Kisha tafuta sehemu nzuri hapo nyumbani kwako chimba shimo urefu wa mkono wako na upana uwe kiasi cha rula mbili kule ndani lifanye kama kaburi linavyochimbwa.

mtie huyo paka au kuku wakati unamtia humo kwenye shimo kuna maneno ya kusema(kwa usalama wa wasomaji siyaweki hapa kwa sababu kama mtu atayasoma bila kuwa kwenye ufanyaji wa jambo hilo huweza kumletea madhara ya kuumwa na kichwa kisichosikia dawa mpk afanye hivo,hivyo ukiwa tayari kufanya hilo zoezi utaniuliza na ntakujibu bila gharama yyte)

0653 532036 whatsap
baada ya hapo tafuta ubao funika juu ya shimo hakikisha mchanga hauingii ndani

chomeka vijiti kila pembe acha mpaka asubuhi

asubuhi ukija kufukua utamkuta huyo kuku au paka bado ni mzima!! najua unajiuliza itakuwaje awe mzima wakati hakuna hewa inayoingia wala kutoka?jibu lako ni kwamba hayo maneno ntakayokufundisha kusema ndyo yanaleta Mlinzi wa kuja kuhakikisha mnyama huyo hafi ili dawa isiharibike

baada ya hapo mchukue huyo jogoo au kuku mchanje kidogo atoke damu na damu hiyo utumie kama wino uandike kwenye karatasi nyeupe hivi.

''Mimi fulani Bin fulani,nikiwa sina uadui na mtu yeyote wala sina chuki na mtu yeyote,kuanzia leo nimejikamilisha inavyotakiwa kujikamilisha kwahiyo sitohusika na kifo cha yeyote atakayenipangia kunifanyia uadui''ikunje hiyo karatasi ukipenda itupe baharini,ifunge juu ya mti,ndani au popote pale.

paka  au ndege huyo endelea kumfuga

kuanzia siku hiyo akija mchawi hata kama hajaja kukuroga huyo kuku atamparamia na kupigana nae kama mbwa
na kuanzia siku hiyo atakayekusudia kukufanyia uchawi au ubaya wowote wa kishirikina ataumwa sana sana sana haja zote atamalizia hapohapo na akiwaita watu na kuwaeleza ukweli juu ya yaliyomkuta ndyo kupona kwake kama ataendelea kukaa kimya basi ndugu waandae jeneza mapema.
MUHIMU
KUMBUKA DAWA HII INAUWA KABISA HAO WATU WABAYA!