Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Septemba 2016

TIBA YA NGUVU ZA KIUME


Image may contain: one or more people, outdoor, nature and water
(huongeza ladha ya tendo la ndoa,kuchelewa kutoa manii,na uwezo wa kuhimili vyema tendo hilo kiasi cha kumfurahisha mwenzako pia)
Fanya hivi.
chukua habbatsauda ya unga vijiko 2 vikubwa
chukua unga wa tangawizi iliyosagwa vijko 2 vikubwa
chukua juice ya kitunguu thaum kikombe cha kahawa
chukua asali safi ya nyuki vikombe viwili vya kahawa
koroga vizuri mchanganyiko huo
kula vijiko vikubwa viwili asubuhi na jioni kila siku kwa wiki 2...........
kisha usisahau kuleta mrejesho