Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Septemba 2016

FAIDA ZA UDI,UBANI NA MANUKATO YASIYO NA KILEVI.

watu wengi hasa watanzania wamekua na imani kuwa mwenye kupenda udi,ubani au manukato mazuri basi ana majini na udi unavuta majini hivyo kutokea watu kuyachukia manukato hayo na kuwanyooshea vidole watumiao hayo manukato kuwa wana majini(mapepo) na wao wanayoyachukia kujiona wako salama.

                      UKWELI KUHUSU MANUKATO HAYO.
manukato haya ndiyo manukato yanayopendwa na vitu visivyoonekana ambavyo vi vizuri na vinavyomuamini m/mungu kama MALAIKA,MAJINI NA VIUMBE VINGINE VISIVYOONEKANA KWA SIRI YAKE M/MUNGU.

UDI (MAGIC STICK)

udi kiswahili ila kingeleza unaitwa magic stick. yaani kijiti cha miujiza na watu wote duniani wanaamini hivyo,
kwa kuwa malaika wanapenda harufu nzuri na mtu anayenukia manukato mazuri basi sehemu inayonukia udi ni sehemu ambapo jinn mbaya ama shetani anapata tabu na kuumia sana kuukaa sehemu hiyo na sehemu hiyo huwa na baraka hasa kama litatajwa kwa wingi jina la m/mungu unayemuabudu.

UBANI(LUBANI)

haya ndio manukato yanayotumika sana kuvuta malaika na kutia baraka sehemu yenye harufu ya manukato haya na ndio maana NYUMBA ZA IBADA ZA ZAMANI ZILIKUWA ZIKiFUSHA MANUKATO HAYA KABLA YA KUFANYA IBADA AMA KUFUNDISHA JAMBO LA KIIMANI(MSIKITINI NA KANISANI)

MANUKATO YASIYO NA KILEVI

kwa mfano mafuta ya miski. kwa kuwa manukato haya hunukia vizuri na vitu vibaya huchukia harufu ya munakato kama haya basi mafuta ya miski husaidia sana kufukuza vitu vibaya kwa mtumiaji wa manukato haya.
MANUKATO HAYA NDIO TIBA RAHISI YA KUFANYA MTU ASIFANYIWE MAPENZI NA JINI MAHABA.

KWANINI BAADHI YA WATU HUUMWA KICHWA WAKISIKIA MANUKATO HAYA.
badala ya kwenda kwa mganga na kukutazamia ramli ili kujua km una jini mbaya au laa udi ama ubani ni ramli tosha ya kujua ww umeathilika na majini wabaya,

YEYOTE MWENYE KUUMWA NA KICHWA PINDI ANAPOSIKIA HARUFU YA MANUKATO HAYA BASI ATAMBUE ANA VITU VIBAYA VINAVYOMDHURU. NA KWA KUWA HARUFU HII HUMKERA JINI MBAYA KTK MWILI WA BINADAMU BASI JINI KAMA ALITULIA KTK MWILI WA MUATHIRIKA HUANZA KUHANGAIKA NA NA KUMFANYA MTU KUUMWA KICHWA NA KUHISI HASIRA NA KUANZA KUCHUKIA MWENYE KUCHOMA HARUFU HIYO AU ALIYEJIPULIZIA MANUKATO HAYO.

MTU ALIYEATHIRIKA NA MAJINI WABAYA HUWA HAPENDI KABISA HARUFU YA MANUKATO MAZULI NA BADALA YAKE HATUMII MANUKATO YEYOTE.

WAKO WATU HATA PAFYUM HAWATUMII KABISA.