Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Septemba 2016

DAWA YA KUUFANYA UKE UWE MDOGO NA MNATO


Chukua vitunguu swaumu menya yale maganda yake ndo dawa tosha,

kisha chukua moto na uweke hayo maganda kwenye moto


vua nguo zako za chini kua kama unafukiza uke wako

hakikisha moshi ule unaingia moja kwa moja katika uke baada ya hapo chukua ndimu mbili kamlia katika maji nusu lita kajioshee huko kwa bibi.

itakuwa ndogo na mnato kama hujawahi ku do vileeeeeee.


KWA WALIOATHIRIKA NJIA YA HAJA KUBWA
KWA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA 
MAUMBILE(KULAWITIWA)

Pia mgagani unaeza kutumika pia kubana sehemu ya haja kubwa kwa wale waliowahi kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

~ Chukua mgagani utwange hadi ulainike kisha andaa kitambaa cheupe cotton weka ule mgagani ukifatiwa na kijiko cha asali kisha weka kile kitambaa kama muundo wa pedi ndani ya dakika 25 fanya hivyo kwa siku saba.njia ya haja kubwa itarudi kwenye hali ya kubana