Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Septemba 2016

KUMFUKUZA JINI MAHABA ASIJE KUKUGEGEDA USIKU

Image result for GHOSTS SEX

kama unasumbuliwa na jini dume au jike,ambaye huja usiku na kukuzini bila matakwa yako basi nunua dawa zifuatazo.........
1.Ambari
2.mvuje
3.Mawaridi
4.Ubani maka
Hakikisha dawa hizi zinakuwa vipimo sawa na uzichanganye pamoja
Hakikisha ukitaka kulala uwe msafi wa mwili na mavazi
Chota kijiko1 tia kwenye moto na jifunike guo zito ujifukize vizuri
Soma dua ya kulala, lala
Dumu na dawa hii siku 11 au zaidi na usikatishe
Utapata mafanikio