Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumamosi, 2 Novemba 2019

JE UNAJUA MAANA YA KIGANJA CHAKO CHAMKONO? FWATANA NAMI SASA UJUE MENGI KUHUSU KIGANJA CHAKO NA CHA RAFIKI YAKO.

 
Ndugu msomaji hakuna ubishi kwamba viganja ndio mtumishi wa viungo vyote vya mwili mzima viganja vitaosha USO, kupiga mswaki, kula,kuandika, kuoga bila idadi ya Huduma kwa siku huku kiganja cha kushoto kikitegea  kiganja chakulia kikisulubika daima...

👇👇                                
Viganja ndio majani ya kiumbe aitwae mwanadamu na ndio maana huhusika na kilakitu katika maisha ya binadamu ikiwemo kumtafutia binadamu rizki Yake na ndipo ubongo unapata nafasi ya kuvingiiza katika wizi lakusikitisha nikwamba viganja ndio vinabaki na kumbu kumbu za wizi wote alio ufanya binadamu.

👇👇👇                                
Kwahili naomba msomaji ufanye uchunguzi utabaini ukweli wa haya MTU anapoanza kushiriki udokozi au wizi basi vidole vyake huanza kujikunja kama vinafumba.
Kadiri binadamu anavyozoea wizi ndivyo vidole vyake vinazidi kujikunja kwahakika kama utampa mtu pesa Alie na vidole vilivyojikunja ukamuaacha mwenye vilivyonyooka halafu ukajikuta umetapeliwa utabaki na lawama lakini huwezi kuipata pesa tena.


👇👇👇👇                
Kiganja ni muunganiko wa vipande vidogo vidpogo vya mifupa idadi yake vipo kumi na vinne ndio vinatengeneza taswira na umbo la kiganj, lakini kulingana na elimu ya usomaji viganja kuna ukweli kuwa kiganja kinatafautiana na kingine na kila kiganja kina tafsiri sahihi kabisa ya taswira ya mtu husika kwakumuangalia tu. Jee unajuwa kaisari Julius aliwakuhumuje watu kwakuangalia viganja vyao?

👇
(1) KIGANJA KIDOGO SANAA.

Mtu mwenye kiganja cha ainahii ana akili nyembamba sana usimpe majukumu makubwa! Anapenda kugombania vitu vidogo vidogo, huwa anashangaa na kushtuka sana, anaweka maslahi Yake mbele daima na wala sio mtu anaeheshimika popote pale.

👇
(2) KIGANJA KIDOGO.

Kiganja kidogo: mtu wa aina hii hutasema nimekosea nikimuita mvivu popote unapokutana naye hukueleza mipango mikubwa sana ambayo huwa haizai matunda siku zote kwa uzembe wake tu.

Watu hawa si wakweli huwongopa ongopa  maisha yao yote na wanapenda kubishana hata mambo ya kijinga na wanaweza sana kuwavutia watu na wana akili sana ya kuwadanganya watu ila wanashindwa kutunza kumbu kumbu za uwongo na kugundulika Mara kwa Mara kuwa sio waaminifu.niwatu wenye bidii sana na washindani wazuri lakini huwa hawana mafanikio katika maisha.

👇
(3). KIGANJA CHA KAWAIDA.

Kiganja cha kawaida watu wenye viganja hivi niwatu wenye busara za wazi. Wanajuwa namna ya kuishi na watu na wanajihusisha na jamii kivitendo na kweli hupata heshima za stahili zao. Hutaabishwa sana na maisha lakini lakutia moyo nikwamba wanafanikiwa sana katika maisha. AFya zao ni bora daima na sio waumini wa mahusipitalini. Niwepesi sana kujuwa jamii na mazingira yanasemaje na kuyatumia kitija zaidi...

👇
(4). KIGANJA KIREFU:-

Kiganja kirefu:- hawa ndio watu wanaoitwa waheshimiwa mbele ya jamii popote. Sio watu wenye furaha japo sio watu wenye wasi wasi kihivyo wapo kivitendo zaidi katika mambo yao, wanatumia akili zaidi na ahadi zao zinakuwa kweli daima. Niwepesi wa kubaini tatizo na utatuzi huku wakiwa kimbilio la wasiojiweza.

👇
(5). KIGANJA KIREFU SANAA!-

Kiganja kirefu sanaa!- watu hawa hawana shukhuli yoyote katika jamii.
Sio watu wakuwategemea kwa lolote! Niwatu wenye majivuno, wanatembea kwa mikogo huku akili zao zikiongozwa na ndoto za utajiri.
Japo niwatu wenye vitisho lakini wakikubwa na matatizo kidogo tu wanaathirika sana kwakuwa si watu wanao yamudu maisha kila kitu ndugu zao ndio wanawajibika.

👇
(6). KIGANJA HALISI:-

Kiganja halisi kinganja hiki sikuzote kimekakamaa, kizito, na kimenona.
Kiganja hiki utakiona kimebeba vidole vinavyo fanana kwa urefu.
Watu wenye kiganja hiki ni waungwana sana. Huwa hawapendi maneno maneno ya kijinga. Nyumba zao hazipungui chakula malazi na mavazi. Familia zao niwatu wakula na kunjwa tu. Hawa kwa bahati mbaya hawataabishwi na kiru gharama wala bei juu wao hununuwa tu. Hawajui thamani ya maishwa hawa kazi zao sio zamaana sana hivyo usiwaudhi kwakuwa wanaongoza kwa kesi za jinai kila wanapopndwa na hasira wanakuwa hawazuiliki.

👇
(7) KIGANJA MRABA:-

Kiganja mraba watu wenye viganja mraba niwatu muhimu katika jamii.
Viganja vyao vina umbo sawa kwa urefu upana huku vikijiridhisha wazi kuwa vina mifupa imara.viganja hivi havijakakamaa kama viganja halisi.
Wenye viganja hivi ni watu genious na intellectuals ambao husaidia sana jamii na pengine huwa viongozi wa jamii zao. Hawa ni watu maalumu na utawaona wakihubiri, kufundisha, kutabiri, kugunduwa, kuokoa, kuvunja rekodi n.k. kitu malipo na kuidharau pesa hata ingekuwa kubwa kiasi gani kwao ni kawaida.

👇
(8). KIGANJA KAZI:-

Hawa niwale watu ambao wakikulamba kibao lazma uzimie! Lakini cha ajabu utakubaliana na mimi kwamba watu hawa sio wakorofi mungu aliwaumba ili wawe msaada kwa wengine maana hujisikia raha wakisifiwa kuwa walizuia tukio kubwa lililohusisha mabavu ukiwaomba nguvu hutoa hata bure na hawapendi kuona wanyonge wanaonewa. Mungu aliwajaalia kufanikiwa sana katika maisha yao.

      0764995259
0657 739713
0757 916647
💫✨⭐🌟💫🌟⭐✨💯

                  InshaAallah