Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 14 Oktoba 2019

Dawa zinazoweza kumfanya mtu aone katika ndoto mambo yake yatakayotokea baadae


Ni kweli kabisa zipo dawa  ambazo huwapa watu uwezo  wa kuyaona mambo yao katika  ndoto kabla hayajatokea.

Dawa hizo zimegawanyika  katika makundi makuu mawili. Zile zinazo tumiwa na  wachawi tu na zile ambazo  zinaweza kutumia na watu wasio wachawi lakini pia zipo  dawa ambazo zinaweza  kutumiwa hata na watu ambao si wachawi  lakini wanataka  kuwa na uwezo wa kuwa  wanayaonana kabla hayajatokea mambo yanayo  wahusu wao wenyewe na watu  wao wa karibu.

Zipo za aina  nyingi  sana  ila  leo  nitazingumzia  za aina  mbili, moja  ya  kichawi  na  nyingine  ya  kawaida.

Hii ya kichawi hutumiwa na  wachawi tu na mhusika  huchanjwa kwa lengo la  kumpa uwezo wa kuwa  anayaona mambo yake kabla  hayajatokea ili aweze  kuchukua hatua stahiki za  kiroho.

Ndumba hii ya kichawi  hutengenezwa kwa miti kadhaa  ya porini, ubongo wa mnyama  wa porini ambae chakula  chake kikuu ni mizoga pamoja  na ubongo wa ndege mmoja wa porini aitwae mbesi ambae  hujulikana kwa waganga na wachawi kama mtaalamu wa  kuvumbua mizoga.

Ni hivi huyu ndege anapokuwa  amelala usiku porini huwa  anaota mahali mzoga ulipo.  Na anapo amka asubuhi basi  huwa anapaa hadi mahali  palepale ulipo mzoga ambao  aliuona kwenye ndoto.

Tuchukulie  mkoa mzima  wa  Mombasa ni pori.Huyu mbesi  yupo likoni amelala.Anaweza  akaota mzoga ambao upo changamwe na asubuhi  atakwenda  hadi changamwe  katika sehemu ile ile ambayo  aliiona katika ndoto.

Dawa hii hutumiwa na  wachawi tu kuona mambo  yatakayo tokea siku za usoni.

 Dawa hiyo wachawi huitumia  katika mambo mengine mengi  sana kama vile mapenzi  kumtega mtu.

Dawa ya pili ni dawa ambayo  inaweza kutumiwa na mtu  yoyote Yule hata ambae si  mchawi.Hii inatokana na mti mmoja wa porini ambao Inatumika kunywa.

Mtu akichemsha na kunywa dawa hii basi wakati wa usiku akiwa amelala nafsi yake inarudi duniani na kuona na  kufanya kila kitu kana  kwamba hajalala

Kwa maelezo wasiliana nasi
0657 739713