Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Septemba 2016

DAWA YA KUMKAMATA MCHAWI ALIYEKUJA NYUMBANI KWAKO

MANYOYA 7 YA SEHEMU ZA SIRI ZA PUNDA NA KHATAM SULAIMAN 


  Habari yako mdau 
 Nimekuwa nikipokea simu na sms nyingi kutoka kwa watu mbalimbali wakiwa ni wahitaji wa dawa ya kuweza kumkamata mchawi na kumuadhibu pale anapokuja kwako kukuchawia,yaani agande na kushindwa kuondoka.

 nimeona niweke wazi kwenu dawa hii ambayo ina nguvu kubwa na ndiyo tunayoitumia watu wengi katika kuwadhalilisha wabaya hao.

MAANDALIZI 
Tafuta nywele 7 za sehemu za siri za punda ambaye ameshazaa tayari 

 chukua karatasi nyeupe andika khatam sulaiman kwa wino wa peni nyeusi weka nywele hizo kwenye khatam sulaiman na ukunje vizuri kisha karatasi hiyo ichome kwa sindano mpya ambayo haijatumika 

 mchinje kuku mweusi na damu yake itie kwenye chupa ndogo na hiyo karatasi itie humo kisha fukia hiyo karatasi mbele ya nyumba yako. 

 baada ya kufukia ingia ndani bila kugeuka nyuma na kuangalia mara mbilimbili