Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 21 Juni 2017

njia rahisi ya kumuona mchawi

Chukua karatasi nyeupe kisha  andika maneno haya mara  mia moja kwa kiarabu(kama hujui mtafute anayejua akuandikie):
KAYDAHULA

 Kisha  ukishamaliza andika tena maneno haya kwenye hiyo hiyo karatasi:TAWAKKAL YA KH
UDDAM LHADHIHI LWAFQU SHARIFFU BITAKHDHWARNIY KULLA SAAHIRI BIHAQQI LJIBRAIL WAMIKAYL WAISRAFIL WAIZRAIL HAYYA HAYYA ALWAHA ALWAHA AL-AJLA AL-AJLA ASAAT ASSAT BAARAKALLAH FIYKUM WAALAIKUM

 Kisha  weka kwenye maji alafu tafuta mti  mmoja  unaitwa mvinje weka pamoja  na hiyo karatasi

 weka asubuhi mpaka usiku ikifika  usiku pakaa usoni kwa kupandisha juu kisha  yaliobaki  mwaga chumba unachokaa yote  chumba kizima kisha  lala basi utawaona wachawi wote  wanaokusumbua na utauona hadi uchawi wanaoutumia


kwa anayehitaji dawa hizi anaweza kuwasiliana nasi kwa
0653 532036 whatsapp
0764 995259