Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 9 Juni 2017

Yajue mafuta ya lavender na faida zake kubwa( lavender oil)

Historia ya mafuta haya ni ndefu hasa katika imani ya kikristo ya roman.

Mafuta haya yalitumika zaidi ya miaka 2500 iliyopita japo miaka ya hivi karibuni ulaya na Asia hutumika zaidi baada ya kugundua faida zake na faida ya vitu vya asili.

Wamisri enzi hizo walitumia mafuta haya kama kinga ya kupata usingizi mzuri na kuzuia mtu kuota watu waliokufa.

Pia mafuta haya yalitumika zaidi na roman katoliki ktk kuogea na kupaka kwa lengo la kuwa na mvuto na amani ya moyo pamoja na usingizi.

Zifuatazo ni faida zake.1) huondoa maumivu ya kichwa.
2) huondoa madoa mwili na usoni.
3) husafisha nywele na hukuza.
4) ina antioxidant ambayo huunguza mafuta yaliyoganda mwilini.
5) ndio mafuta ya kike ambayo ukipaka hukupa mvuto kwa wanaume.
6) ukipaka usiku utakachokiota kitakuwa na maana.
7) huzuia ndoto mbaya hasa ukichanganya na mafuta ya rosemary .
8) ukifusha nyumba yako au ukichoma maua yake ndani kwako basi kama kuna maugomvi yatakwisha.