Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 9 Juni 2017

faida na maajabu ya kiazi cha mlangamia japo ni adimu kupatikana

Leo nawaletea faida na maajabu ya kiazi cha mla ngamia japo ni adimu kupatikana lkn ukihitaji kinapatikana.

Kiazi hiki kina kazi nyingi hutegemea na jinsi unavyotaka pamoja na nia yako.

Kwanza hufunga kesi. Kiazi hiki hufunga kesi tena kwa maneno tu na unga wake.

Ni mvuto mkubwa.
Changanya mafuta ya rosemary na unga wa kiazi huki. Kipindi unachanganya tia nia zako ila ni vizuri akuchanganyie mtu mwenye karama ya utabibu kisha tumia kupaka.

Kupata utakacho hasa kwa wanaopenda kuchuna ama wenye biashara zinazotegemea maneno basi paka na tafuna utaona maajabu.

Wasanii kinawafaa zaidi.

kwa maswali whatsapp 0653 532036