Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumamosi, 17 Juni 2017

Je wewe unahitaji kumiliki mtumishi wa kijini(khaadim)


Ninaposema mtumishi wa kijini au khaadim kwa lugha ya kiarabu namaanisha ni mtumishi kama walivyo watumishi wetu wa kawaida wa kibinadam

hapa namaanisha kwamba kama unavyomtumatuma mtumishi wako wa nyumbani na akakufanyia kila unachohitaji basi pia utakuwa na uwezo wa kumtuma mtumishi huyu wa kijini chochote unachotaka na anakutekelezea bila kafara zozote za umwagaji damu


Ukitaka kuwa na khaadim wa kijinni awe mtumishi wako uwe unamtumia kwenye kazi zako utachukua vitu vifuatavyo          
1)ZAFARANI YA NYUZI            
(2)MAWARIDI        
 (3)MAJANI YA MKARATUSI        
 (4)MTI WA MPINGO  
 (5)MTI WA MUHALAKA  
 (6)UBANI JALBU      
  (7)UBANI KIBRIT AHMAR        
  (8)UBANI JAMJAM  
  (9)KARATASI 7      

  Utachanganya zafarani ya nyuzi na mawardi kisha kuna dua utaiandika kwa kutumia mti wa muhalaka dua yenyewe inaitwa miftah ltwahtwil lamaqfanjal 

 kisha karatasi ya pili utaandika twalasim la maymuna abaanukh

kisha karatasi zilizobaki utaandika ayat kursiy3 na aya hii:INKANAT ILLA SWAYHATA WAAHIDA FAIDHAHUM JAMIU LADAYNA MUHDHWARUN mara97 

kisha kila karatasi moja utaoga siku moja lakini uwe ndani umekaa riadhwa yaani usitoke mpaka ziishe siku saba kisha kila baada ya swala utasoma ayat kursiy mara 313 ikifika insha baada ya swala utasoma mara 1000 basi siku ya saba atakujia kijana mrefu mweupe atakuuliza shida nn utamwambia nataka niwe na wewe katika mambo yangu basi atakupa saa au  atakupa maelekezo hapo utakuwa ushampata na utaweza kumtumia..hii ni hakika na haina shaka

kama utashindwa basi unaweza kuwasiliana nasi na tutakusaidia utampata popote ulipo

0653 532036 whatsapp
0764 995259