Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 9 Juni 2017

Dawa hii watumie waliooa tu au wenye uhakika na tendo la ndoa!

Heshima ya nyumba!

bado tupo katika kusaidiana kuelekezana dawa mbalimbali za asili ambazo zina nguvu kubwa katika kusaidia kutibu matatizo ya nguvu za kiume,kama nilivyofafanua katika mada nyingi ninazoandika juu ya tatizo hili ambalo limekuwa sugu na limewaathiri wanaume wengi.


(1)Chukua mizizi ya mchongoma mweusi upate na pweza mkavu uchemshe pamoja,kunywa mchuzi wa kutosha na pweza huyo
 fanya siku3/7 kutwa ×3 ukikosa mkavu hata mbichi anafaa


(2)Mzizi wa mpopoo unakata vipande 7 uwe mbichi upate na tangawizi na pweza mbichi upike pamoja utakunywa mchuzi  kutwa ×2 siku7

(3)Upatikane mzizi wa mchakuzi upikwe na pweza mgonjwa apewe anywe siku3/7 kutwa×3

(4)Yule asiyefika kileleni kabisa,achukue mzizi wa mfungua jini na mzizi wa mhogopira chemsha pamoja kunywa x2 siku5

(5)Kwa wale wasioweza kusimamisha kabisa  uume
chukua mzizi wa mkwaju chemsha kunywa kikombe1x2 kwa siku 7


(6)Chukua mzizi wa mwinamia kuzimu chemsha kunywa kikombe kimoja  kutwa mara2  kwa siku5

(7)Chukua mzizi wa mkalanga kula kipande kimoja uwezavyo kila siku
dawa hizi zitamaliza matatizo yako ya nguvu za kiume na utakuwa na uwezo na hamu kubwa ya kufanya tendo hili

TAHADHARI 
USITUMIE DAWA HIZI KWA MAJARIBIO ZITAKUSABABISHIA MATATIZO UWE NA UHAKIKA UKISHATUMIA KIPOZEO KIPATIKANE.
🍃🍃🍃🍃🍃🍃