Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 13 Machi 2017

NJIA YA KUMUITA JINI NA KUMMILIKI AWE MPENZI,MLINZI AU AKULETEE MVUTO KWENYE SHUGHLI ZAKO


MAHITAJI

-Udi aina ya shivam

-Pete, cheni. Au saa

-Mishumaa 3.
    mweupe,
    mweusi
    mwekundu.

-Muda ni saa 6-10 usiku mwezi ukiwa mpevu.

-Chumba tupu na kisafi.
-kioo.
-lipstick nyeusi/nyekundu.

                          HATUA ZA KUFUATA.

1. Ingia ktk chumba ulichoandaa ktk muda ulitajwa hapo juu ukiwa na vifaa vyote. Choma udi yote kisha toka nje hadi imalizike kuungua kisha rudi tena chumbani.

2. Kaa sakafuni kisha pangaa mishumaa yako mbele yako kwa kufuatana ukianza kushoto kwenda kulia. Anza na mshumaa mweupe, mwekundu kisha mweusi(nafasi kati ya mshumaa hadi mshumaa ni inchi 6(6 inches).

3. Sema maneno haya mara 6 "ALLAH SHAFIM BARAT SHIU KAMIR". Maneno hayo hutumika kufungta geti la kule ulimwengu wa majini. Hapo unakuwa umefungua geti tayari.

4. Washa mishumaa yako ukianza na mweupe, mweusi kisha mwekundu. (kila rangi ina maana yake, nyeupe inasimama badala ya amani, nyeusi ni ulimwengu wa kijini na nyekundu ni made material yao kwani wameumbwa kwa moto).

5. Chagua aina ya jini umtakaye na jinsia yake. Chukua kioo chako sasa kisha andika maneno haya katikati ya kioo kwa kutumia lipstick yako, "ALI ALLAH HAMAL JINNI". Kisha kisha andika jinsia yake MUSCHNA(Kwa jini wa kiume) au VAMIR(kwa jini wa kike). Kisha andika AL AMANI(yaani awe wa amani). Mwisho aina ya jini kama vile.

*MAJIRR AL AMAR(huyu ana nguvu sana), * AL AMAR(huyu ni wa pili kwa nguvu). *SUL AL AMAR(ana nguvu za wastani) au CLOSUN ONTEI(ana nguvu dhaifu).

6. Ukimaliza kuandika tu maneno hayo ktk kioo JINNI atakuwa ktk chumba chako na utaona kama kuna mtu vile lakini hutomwona. Utahisi harufu ya manukato, kupumua na sense kama kutembea nk.

7. Mwamrishe aingie ktk pete au mkufu ulioandaa kwa kusema maneno haya "EWE JINI NAKUAMURU UINGIE KTK PETE/MKUFU HUU". Kisha nyofoa nywele yako moja ya kichwami na uichome kidogo kidogo ktk mishumaa yako inayoendelea kuwaka kwa dk. 1-2.

8. Mfungie ktk pete kwa kusema mara 3 maneno haya "EN TIEN ALLAH CLMAN".

9. Zima mishumaa yako kwa kuanzia mwekundu, mweusi kisha mweupe. Futa maneno uliyoandika ktk kioo


JINSI YA KUMTUMIA JINI TULIYEMWITA.
Matumizi ni ya aina mbalimbali kama vile
unavyotaka taarifa kwa kugoogle ktk mtandao.
1. Unataka kuwa mahusiano ya kimapenzi na jini
uliyemwita. cha kufanya ni kumwomba kwa
maneno kama haya kabla ya kulala “

WEWE JINI NAKUOMBA LEO TUSHIRIKIANE KTK TENDO LA NDOA
*”. Usiku utaota unafanya tendo na binti
mrembo/mvulana handsome na ukishtuka
utakuta tayari umechafuka . Angalia na jinsia ya
jini uliyemwita. Isije wewe ME umemwita
MUSCHNA halafu unamwomba mDO.

1. Unataka kumtumia kwa ajili ya kupata pesa na
mafanikio. Ni rahisi tu. Chukua karatasi
isiyoandikwa then andika “ni biashara gani
nifanye na kuniletea mafanikio na je unaweza
kunisaidia ni wapi naweza kupata pesa ya
mtaji?” halafu fumba macho na weka kalamu
yako chini kidogo ya hiyo sentensi na uanze
kuandika kama mtoto wa chekechea, usikusudie
kuandika wala kuumba herufi(nadhani
uumenipata), dont consider what you are
writing. Baada ya kufanya zoezi hili kwa dk. 1-3
fumbua macho. Utaona maelezo aliyokupatia
kuhusu mnyambuo wa biashara pamoja na wapi
kwa kupata mtaji kwa msaada wake.

Mfano.Akikuambia nenda kamkope flani usisite,
walah anakupatia kiasi chote unachohitaji.
Kwa kweli ni kama kutafuta kitu kwenye mtandao
vile. Chochote ambacho unahitaji anakusaidia.

TAHADHARI.
-Usimwite JINI kisha kabla ya kumaliza hatua
zote ukakimbia kwa woga nk.

-Usimwite jini MAJIRR AL AMAR kama ni mara
yako ya kwanza.

-Usinywe pombe siku ya kumwita JINI.

Kwa mawasiliano zaid nipigie
0653532036 whatsapp