Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 28 Februari 2017

⚡KWA WENYE MATATIZO YA KUTOKUSHIKA UJAUZITO⚡

Dawa hii ni nzuri sana kwa wasioshika ujauzito kwa sababu mbalimbali kama kutokubalance kwa hormone na matatizo mengine....

Pia dawa hii hii watumie watu ambao akishika ujauzito unatoka.

Dawa hii usiitumie kwanza kama una UVIMBE TUMBONI AMA MIRIJA YAKO YA UZAZI IMEFUNGA(IMEZIBA)

Nina maana ikiwa una uvimbe ama mirija imefunga TUMIA KWANZA DAWA ZA KUTOA UVIMBE NA KUZIBUA MIRIJA ndipo utumie dawa hii

Dawa hii si nyingine bali ni MIZIZI YA MKWAMBE

⚡Tafuta mizizi ya mkwambe ...mizizi nane igawanye fungu mbili upate minne minne

⚡Chukua fungu la kwanza chemsha kwa maji vikombe vitano vya 250ml. ...... yaani sawa sawa na lita moja na robo. .

Chemsha ichemke vizuri kabisa

⚡Kunywa kikombe kimoja kutwa mara moja

Hiyo dawa ulochemsha utakua unaipasha siku zinazofuata mpaka zitimie siku nne , hapo utachukua kifungu cha pili na utafanya kama cha kwanza

Utakuwa umetumia dawa hiyo kwa siku nane tuu.

kwa uwezo wa Mungu utakuwa sawa.