Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 23 Februari 2017

TIBA YA NGIRI YA KUVIMBA KORODANI

kwa mwenye kusumbuliwa na ngiri ya kuvimba korodani atumie tiba hii
💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉
⚫Mjafari vijiko vitatu vya chakula
⚫mafuta ya nyonyo robo lita
changanya pamoja


💊MATUMIZI💊
Dawa hii utaitumia kwa kujichua korodani taratibu asubuhi na jioni

🌷🌷🌷💐💐💐💐💐💐
Chukua
🔥Mjafari
🔥Mkundekunde
ziwe ujazo sawa
zichanganye pamoja

💥Matumizi💥
Utatumia kunywa kijiko kimoja cha chakula katika uji mwepesi kikombe kimoja cha chai
asubuhi na jioni kwa muda wa wiki moja in shaa allah utapona
🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿