Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 9 Februari 2017

KUMRUDISHA MPENZI,MWIZI,MFANYAKAZI ALIYETOROKA AU MTU ALIYEPOTEA

ngoja nikupe faida ya hilo tarasimu pichani
kama unataka kumrudisha mfanyakazi aliyetoroka
kama unataka kumrudisha mwizi aliyekuibia
kumrudisha mtu aliyepotea


 hii ni tarasimu kama unataka kumrudisha mfanyakazi aliye kimbia au mtu aliyepotea ukisha andika hilo taalasimu na katikati umeandika jina lake na jina la mama yake.Kisha unamchukuwa mende ikiwa aliyetoroka ni mwanamke umpate mende wa kike kama aliyetoroka ni mwanamme umpate mende wa kiume unamfunga kwa uzi huyo mende kisha unamuweka hapo katikati ya hilo twalasimu unampigilia na msumari kama nguzo ya huyo mende ili awe anazunguka ndani ya hilo twalasimu.
Basi aliyetoroka hatakama amefungw ana minyororo atarudi pale alipotoroka au aliyepotea atarudi kwa haraka

Tiba na ushauri
0653 532036 whatsap
0764 995259