Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 9 Februari 2017

KAMA WEWE NI KIONGOZI WA SIASA,MSANII,UNATAKA UMAARUFU NA KUPENDWA AU KUPANDISHWA CHEO KAZINI TARASIMU HII INAKUHUSU

Wakfu hii inasaidia kama wewe ni kiongozi na unataka upendwe na watu wako,au upendwe kazini kwako na kupandishwa cheo,pia kama ni msanii na unahitaji kupata umaarufu inakufaa.

ukilivaa Talasimu hili a.k.a Wakfu utapendwa sana na watu,Unaliandika kisha unalifukiza kwa uvumba,udi na ubani maka na ubani mushatak kwa siku nzuri na saa nzuri haswa inapendeza siku ya ijumaa saa 1 asubuhi iwe ni mwanzo wa mwezi wa kiarabu.

 ukisha kundika na kufukiza una mswalia mtume kwa idadi utakayoweza na kumuomba Mungu na ndani ya wakfu unaweka kidogo ambari safi na miski nyeupe ndipo unafunga hilo wakfu na kuzungushia kitambaa cheupe kwa nje na unajifunga mwilini

ni tarasimu ya uhakika na yenye kuleta majibu kwa haraka kwenye mambo hayo
kwa tiba na ushauri
0653 532036 whatsap
0764 995259
email
tibazetutz@gmail.com