Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 26 Februari 2017

JE Wajua kuhusu pilipili nyekundu na chumvi ya mawe.

Chumvi ya mawe hutumika sana kwenye tiba hasa za kusafisha nyumba ,mapenzi pamoja na mvuto.

Leo nakupa faida kuhusu pilipili nyekundu na chumvi ya mawe.

1. Ukiweka kwenye kiatu chako chumvi ya mawe pamoja na pilipili ya unga nyekundu ,ukienda kuomba kazi utapata wepesi kama kama una gundu LA kukosa ama kutosikilizwa.

Pia ukivaa hivyo ukamfuta mpenzi wako asiyekupenda ama kutokukusikiliza basi atakusikiliza na utakuwa mpole.

Ukivaa hivyo ukaenda kumdai unayemdai basi atakulipa kama pesa anayo.

Cha msingi weka nia yako vile unavyotaka ,inshallah utapata utakacho kwa idhini ya M/mungu.

2. Pia mchanganyiko huu humuhamisha mtu usiyempenda kwenye nyumba yako.

3. Pia mchanganyiko huu ni hatari kwa kumvuta mpenzi,kulipisa kisasi n.k