Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 13 Februari 2017

MATUMIZI YA KINYESI CHA PAKA KWENYE UCHAWI



HAbari yako mpendwa

umewahi kujiuliza!
Kwanini paka wanafukia mavi yao na hata kama ndani hakuna sehemu ya kuficha kinyesi, basi atakunya kwenye unga au sukari au popote pale atakapoweza kuficha, na huhakikisha amejiridhisha kuwa hayanuki, na wala haonwi?

sijui paka mwenyewe huwa anajua kama wachawi huyatumia mavi yake!

Mavi ya paka ni silaha nzito sana zaidi ya ak-47 huko uchawini,wachawi wengi huyatumia mavi ya paka katika kuingia ndani ya nyumba na hata kusababisha maafa makubwa kwa mkusudiwa wao.
Mavi ya paka yanapochanganywa na miti ya hanjar na faijar na unga wa fuvu la kichwa cha mtoto mchanga(hajabalehe)mchawi huutumia mchanganyiko huo kuweza kuichukua roho ya mtu akiwa usingizni(kifo ghafla}na kumfanya msukule.

mchanganyiko huo unapowekwa kwenye pembe ya nyumba ya upande linapochomoza jua na kisha pakasemwa maneno fulani ya kichawi ukuta unafunguka kama mlango na mchawi anaweza kuingia ndani

mchanganyiko huo kama mchawi atamlisha mama mjamzito,atakuwa anaharibu mimba kila anaposhika ujauzito bila sababu maalum.pia mimba huweza kupitiliza miezi kwa miezi bila kuifungua.
mavi ya paka pia hutumika kama limbwata kwa kuchanganya na udi wa kike na kufukiza nguo za mtu unayemtaka{hii ni hatari kwani huwa kama taahira}


pia mavi ya paka ukichanganya na tarasimu fulani ukasimama katikati ya njia panda usiku wa manane utakuwa na uwezo wa kuona wachawi na kila kiumbe kinachotembea usiku.


mchawi huchukua unyayo wa mtu anayemchukia mchanga huo hufungwa kwenye kitambaa cheusi kilichochakaa na huchanganywa na mavi ya paka mweusi yaliyokauka kisha anafukia kwenye jumba lililotelekezwa usiku kipindi cha mwezi ni giza angani,mtu aliyefanyiwa hvyo atachukiwa na kila mtu kila analofanya hata ajitume vipi halitoonekana.

kwa tiba na ushauri
0653 532036 whatsap
0764 995259
tibazetutz@gmail.com