Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 19 Machi 2017

UKE ULIOLEGEA KUUFANYA UWE TIGHT

(ngoja niseme maana wanaume wengine wanaona aibu kusema)
Ukweli ni kwamba uke uliolegea hupunguza ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi
Tatizo la uke kuregea au kutepeta ni tatizo linalotokana na kuregea kwa misuli ya uke,hali hii husababisha Uke kuregea au wanaita Kutepeta(unanipata bibieee!!!!!)
Mara nyingi wanaume waliooa wake au kuwa na wapenzi ambao wana matatizo ya uke ulioregea au kutepeta hua mara nyingi inatokea wanapoteza hamu ya kufanya mapenzi na hao wake zao au wapenzi wao au hata mwanaume kushindwa kumudu vyema tendo hilo kwa maana ya kutokuweza kurudia bao la pili ikiwa atajitahidi kumaliza kushusha bao la kwanza na kujikuta mzuka wooooooooote umekushney.(Uongo au kweli wanaumeeeee)

SABABU ZA UKE KUREGEA AU KUTEPWETA
Baadhi ya sababu zinazopelekea misuli ya uke kuregea na kusababisha mwanamke kua na uke ulioregea au kutepeta nazo ni hizi zifuatazo;
(a) Magonjwa ya uke
(b) Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara
(c) Kujifungua
(d) Usagaji
DAWA YA UKE ULIOREGEA AU KUTEPWETA
Chukua kokwa za embe za kutosha zianike jua mapaka zikauke vizuri, zisage hizo kokwa ziwe unga laini

MATUMIZI
Chukua unga huo wa kokwa za embe ujazo kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na maji ya vuguvugu ujazo wa nusu lita. Tumia hayo maji kunawa ukeni mara tatu kwa siku
fanya zoezi hilo kila siku mpaka bibi awe mnatoooo
ZINGATIA
uke utaanza kubana siku ya tatu tu mara baada ya kuanza kutumia dawa.
ukipenda SHARE wengine pia wapate faida hii