Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 24 Oktoba 2016

DAWA KWA ANAYESUMBULIWA NA MASHETANI

tafuta dawa zifuatazo zitakusaidia kufukuza mapepo yoyote mabaya yanaokusumbua! 

Majani ya mbaazi.
Majani ya mkaratusi.
Majani ya tumbaku.
Majani ya mkuyu.
Majani ya mzambalau.
Majani ya matula tula jinalingine mtunguja.
Samaki aina ya shilonge.
Majani ya makaburini ya kona zote yaani {majani ya mbono}
Unga wa vitunguu swaum.
. Mti ulioangushwa na upepo
mizizi iliyo tazama juu.


matumizi ;

saga dawa hizi pamoja na uweke katika
chupa safi au katika kopo la plastiki
kunywa kwenye uji kijiko kikubwa1 mara 3 kwa siku
mpaka siku7 au kamakikubwa lako ni la
muda mrefu tumia kwa siku 14 au zaidi.


Pia jifukize dawa hii hapa chini asubuhi na jioni.
Mvuje
Altiti
Kiberiti upele
Karafuu maiti
Saga upate unga.


Na kuoga ni asubuhi na jioni unachota kijiko kidogo
unapotaka kulala unapaka utosini pia.

Hakika kama ni jinni anae kusumbua
atatoka haraka sana hivyo baada ya kutoka weka kinga ya mwili ili  usije kupatwa tena na matatizo ya mashetwani