Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 25 Oktoba 2016

UKITAKA KUSHINDA KESI YOYOTE

Cha kufanya;
siku ya jumaapili saa kumi na moja 11 jioni chukua mchele unaotosha kiganjani kisha nenda mpaka ulipo mti unaoitwa mtunguja nadhani wengi wetu tunaujua kwani umefanana na mtungule au nyanya ila chagua ule mchanga ambao majani yake bado hayajaanza kuota miba 


ukisha fika hapo chini ya mtunguja elekea magharibi [linapo zama jua] kisha uanze kunuia hivi {wewe ndio mtunguahaja nimekuja kukuchukua ukanitimizie haja yangu BIBARAKATI AGARES BIBARAKATI DALWUUSH BIBARAKATIL TWAUGHUSH  


rudia mara saba x7 huku ukiuzungushia mchele kwa staili ya kunyunyiza
baada ya hapo ukimaliza chuma majani yake kumi na nne 14 

katika majani hayo saba yafikiche kwa maji na maji yake unawe usoni 


na yale saba mengine yaliobaki chukua nepi ile wanayofungiwa watoto wadogo uyafunge yale majani saba yaliobaki na wakati unayafunga unatakiwa kutamka hivi 


{MIMI FULANI BINTI FULAN{utataja jina lako na jina la mama yako mzazi } HAPA SIFUNGI DAWA BALI NAMFUNGA FULANI BINTI FULANI [ utataja jina la yule anaekushtaki pamoja na wote wanaoifuafilia kesi hata hakimu pia kama unamjua mtaje}ASIWE NA KAULI YOYOTE JUU YA KESI HII ASIWEZE KUTAMKA WALA KUSIKILIZWA WALA KUSAIDIWA JUU YA HILI ILI CHOCHOTE NTAKACHOKISEMA MIMI KIWE NDICHO NA KISIPINGWE KWA BARAKA ZA MASHARIFU NA MASULTWANI NA MALAIKA WOTE]rudia mara saba pia 


ukisha maliza hayo na kuifunga ile nepi tia mkobani au mfukoni upande wa kulia wende nayo siku ya kesi 

Utashinda kwa kishindoo
PIA DAWA HII UNA WEZA KUIFANYA SIKU YA JUMATANO NA ALHAMIS TU

0653 532036 Whatsap