Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 11 Februari 2016

DAWA KWA MTU MWENYE KUSUMBULIWA NA MAJINI AU MTOTO MWENYE KULIA USIKU






Kama unasumbuliwa wewe au jirani yako

 na viumbe hawa majini tafuta dawa hizi 

kwani ni dawa nzuri katika kuwafukuza 

majini mbalimbali wenye kutusumbua

wanadamu


DAWA YA KUJIFUKIZA TAFUTA

~Unga wa kibiriti upele


~Camphor(Kafuri ni kama vipande vya square

 na ni vyeupe kama chumvi) na Altiti


changanya pamoja kijiko1 kila dawa 

Altiti kibirit upele na kafuri


Utakuwa unajifukiza kijiko kimoja cha chai

 asubuhi na jioni ukiwa umejifunika shuka na

 uhakikishe mwili mzima unapata moshi wa

 dawa hasa kuanzia shingoni na kifuani


hii dawa ni kali sana ni kwa watu wazima tuu.


DAWA YA KUJIPAKA TAFUTA

mafuta ya zaituni changanya na altiti vijiko

vya chai viwili tingisha ichanganyike vizuri na

pia weka camphor(kafuri) kijiko kimoja 

tingisha

upate mchanganyiko wa altiti, zaituni na kafuri


hii utakuwa unajipaka mwili mzima hasa

sehemu zinazoumwa na sehemu unaposikia

vitu vinatembea tembea mwilini sehemu hizo

utapaka na kujichua 



watoto wanaoshtukashtuka usingizini na kulia

 mara kwa mara usiku wapake dawa hii mwili 

mzima watasinzia na kulala vizuri Kwa

uwezo Mwenyezi Mungu.


kama unasumbuliwa na viumbe hawa

 wasiliana nami kwa namba hizi

0653 532036

0764 995259

tibazetutz@GMAIL.COM