HABARI ZA JIONI WAPENDWA
ngozi ni kiungo muhimu kwa binadamu hivyo tunatakiwa kuwa waangalifu kuitunza ili kuepusha isidhurike na kitu kingine chochote.Ngozi hupokea magojwa haraka ndio maana tunaambiwa ni vizuri kuitunza ili isipoteza uasilia
wake.
Watu wengi wanathamini mno ngozi ya usoni tofauti na sehemu nyingine katika mwili,kwani ngozi ya uso ni muhimu na vilevile ni rahisi kushika vigonjwa vidogovidogo ambavyo vinaharibu ngozi yako. Hakuna mtu asiyependa ngozi ya sura yake haijarishi kama sura yake ni mbaya au nzuri lakini ilimradi tu ngozi yake iwe nzuri,safi na laini.
watu hutumia gharama nyingi katika kununua vipodozi mbalimbali vyenye madawa ya kemikali ili waweze kutengeneza ngozi zao ziwe katika kiwango kitakachomridhisha lakini vipodozi hivi hugeuka sumu na kujikuta wengine wanaharibu kabisa ngozi na afya zao bila kukusudia.
watu hutumia gharama nyingi katika kununua vipodozi mbalimbali vyenye madawa ya kemikali ili waweze kutengeneza ngozi zao ziwe katika kiwango kitakachomridhisha lakini vipodozi hivi hugeuka sumu na kujikuta wengine wanaharibu kabisa ngozi na afya zao bila kukusudia.
Tunapaswa kujua kuwa kuna vitu vya asili ambavyo vina uwezo mkubwa katika kuiweka ngozi yako ikawa katika muonekano mzuri,ngozi safi,laini na yenye afya njema,leo ntazungumzia vitu viwili
NO.1
~CHUKUA KOKWA LA PARACHICHI LITWANGE UPATE
UNGA WAKE
~UANIKE UNGA HUO UKAUKE VIZURI
~WEKA MAJI KIDOGO UPATE ROJOROJO
~JIPAKE USONI NA UKAE KWA SAA1 UNAWEZA
KUJIOSHA
FANYA KWA SIKU7 HADI 11 MFULULIZO
UNAWEZA PIA KUJIPAKA SEHEMU ZINGINE ZA MWILI
MBALI NA USONI
NO.2
~CHUKUA UNGA WA SHABU,LIWA NA MANJANO
~CHANGANYA PAMOJA WEKA MAJI KIDOGO LOWE
ROJOROJO
~JIPAKE KWA UTARATIBU KAMA WA HAPO JUU
KWENYE KOKWA LA PARACHICHI
UNAWEZA KUJIPAKA PIA SEHEMU ZINGINE ZA MWILI
UTAKUWA NA NGOZI NZURI NA LAINI KULIKO
UKITUMIA MADAWA YA KEMIKALI