Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 1 Februari 2016

JINSI YA KUONDOA TAMAA YA KUSEX MUMEO AKISAFIRI NA JINSI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIKE

Habari za jioni wadau wa tiba zetu,kwa mara nyingine tena nawaletea faida kubwa wale dada zetu ambao waume zao husafiri safari za mbali na kujikuta wanabanwa sana na hamu ya sex mpk wakati mwingine hupelekea michepuko,na jinsi gani ya kuongeza nguvu za kike wanapokuwa kwenye 6x6 na mzee.


WANAWAKE MPOOOOOOOOOOO??


KUPUNGUZA HAMU YA SEX MUMEO ANAPOSAFIRI KWA MUDA MREFU


 ~Kuna baadhi ya wanawake waume zao husafiri kwa muda mrefu kutokana na harakati za maisha yetu ya kila siku iwe kusoma,kikazi,biashara,nk hivyo kuwaacha wake zao nyumbani kwa muda mrefu bila kukutana kimwili,hali hii huweza kusababisha mwanamke akawa ana hamu sana ya kufanya mapenzi na mume yupo mbali yanabaki ni mateso au wengine huamua kuchepuka ili kukata kiu ya ile kitu aliyoizoea kumrekebisha.

ili kuweza kujilinda  na kutomsaliti mwenza wako ewe mdada unaweza kutumia njia hii kupunguza hamu uliyonayo.


JINSI YA KUFANYA
Chemsha maji ya moto na unapokwenda kuoga,kwanza weka maji kwenye kopo pasipo kuyapooza saana.

chuchumaa kama unataka kujisaidia na maji haya ujimwagie kwa bibi maarufu sehemu za siri

kitendo hiki kitakufanya ujiskie vizuuri na burdaani kwani hukuondolea zile hamu za kwichkwich wakati mzee akiwa yupo safarini.


KUONGEZA NGUVU ZA KIKE WAKATI WA TENDO LA NDOA
~Kiukweli kuna baadhi ya wanawake wengi wamekuwa na tatizo la kuchoka na kumaliza haraka wakati wa kufanya tendo la ndoa,hali hii huwapelekea waume zao kukerwa kwani hawafurahii tendo hilo adhwiimu kabisa.

leo ntawapa faida kubwa dada zangu ambazo zitawasaidia waendelee kuwa na nguvu zaidi wakati wa kufanya tendo la ndoa na hali hii itawapelekea waume zao kufarijika na kuweza kukata kiu zao barabara

                                         NAZI
~katakata vipande vya nazi upate vitano mpaka saba,na uvitafune vipande hivi usiku pale unapojiandaa kwenda kulala au kuingilia na mwenzako,hii itakusaidia kukuongezea nguvu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.


                                         UKWAJU
~Chukua ukwaju tengeneza juice iwe nzitonzito na ukifika muda wa kuelekea uwanjani kunywa kwanza glass2 hata3 hii itakusaidia sana kuwa na nguvu za kutosha na kuondoa ile hali ya kuwa dakika 5 tuu ukiguswa umechoka,hutaki tena wakati mwenzako ndyo kwanza anajiandaa kuanza mashambulizi.


                        VIPANDE VYA MIHOGO
~Katakata vipande vya muhogo vitano na uvile wakati unajiandaa kuingia uwanjani kushiriki mechi ya tendo la ndoa,hii itakusaidia kukuongezea nguvu na hamu wakati wa kushughlika na mwenzio.


unaweza kuwasiliana nasi kwa 
0653 532036.........................watsapp
0764 995259
au barua pepe
tibazetutz@gmail.com