Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 28 Februari 2016

DAWA YA KUTIBU MAUMIVU YA MENO AMBAYO YAMELIWA NA WADUDU

Ikiwa meno yako yameliwa na wadudu,kuoza pamoja na maumivu makali tumia dawa hii kwa uwezo wa mungu utapona na kuondokewa na hyo shida 

1.khulinjani ya unga vijiko3 vikubwa

2.ubani vijiko3 vikubwa twanga upate unga wake

3.twanga kitunguu thaumu kimoja kikubwa na nusu kianike kikauke upate unga wake 

mchanganyiko wote huo uweke kwenye glass1 kubwa iwe na maji na acha dawa ikae humo kwa masaa yasiyopungua 16

MATUMIZI
~sukutua dawa hiyo asubuhi mchana na usiku kila siku kwa muda wa siku3 mpaka 7