Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 19 Februari 2016

MAJINI WANAVYOJIONYESHA KATIKA NDOTO

UKIMUOTA NYOKA MWEUSI
~Hii ni dalili ya jini ambaye ametumwa na wachawi na amekuingia mwilini

UKIMUOTA NYOKA ANAPAA ANGANI
~Huyu ni jini aliyetumwa kwako kichawi ni aina ya twayyaara na amekuingia mwilini



UKIOTA UNAFUKUZWA NA NYOKA  
Unaandamwa na adui wa kichawi ambaye anatumia majini mabaya kukuangamiza


UKIMUOTA NGAMIA
Huyo ni jini mkubwa mwenye nguvu katika majini na ikiwa humo kwenye ndoto yako unamuona amekusimamia
NYUMA~ina maana bado hajakuingia mwilini mwako ingawa anakuwinda
MBELE~Tayari ameshakuingia mwilini


UKIMUOTA FARASI AU PUNDA 
Huyu ni jini ambaye hajatumwa na mtu yeyote ila tuu ameingia mwilini mwako kwa kukupenda kwa sababu zake anazozijua mwenyewe au sababu nyingine zozote nje ya kukupenda



KUMUOTA MBWA AU MBWA MWITU
Huyu ni jini mbaya sana ambaye amekuingia na ana madhara makubwa kwa mwili na afya yako kwa ujumla,lakini jini huyu ni dhaifu sana kwa mbinu wanazotumia majini hivyo ukipata tabibu mzuri ni rahisi kuondoka.



KUMUOTA SAMAKI AU CHOCHOTE CHA                   BAHARINI
Huyu ni jini ghawwaas,jini anayependa kuishi sehemu zenye majimaji kama bahari,chemchem,mito,madimwi na mabwawa na amekuingia mwilini


UKIMUOTA SOKWE,NYANI,AU NGEDERE
Huyu ni jini ambaye amekuingia na kuweka uchawi mwilini na ni katika majini wanaopenda sana kufanya mikataba ya makubaliano ya kuwatumikia wachawi katika kazi mbalimbali lakini ni jini muoga sana anapokutana na wataalam wa tiba.


UKIOTA JINSIA ZA BINADAMU
Uwe unamjua huyo mtu au humjui,mara nyingi mwanamke humuona mwanaume na mwanaume humuota mwanamke iwe mpo katika furaha,huzuni au mnafanya mapenzi huyu ni jini mahabbat


UKIMUOTA SIMBA
Huyu ni jini kafiri,mkorofi na jeuri tena ana madhara makubwa kwa mgonjwa na mtibabu kama hayupo fit


KWA MASWALI,TIBA NA USHAURI WASILIANA NASI

0653 532036..........WHATSAPP
0764 995259
AU tuandikie barua pepe
tibazetutz@gmail.com