Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 10 Februari 2016

VYAKULA VYA KUJITIBU KABISA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME

KITUNGUU THAUMU[GARLIC]

~kitunguu thaumu kina faida kubwa mno katika kutibu matatizo ya uume kutosimama na kuishiwa nguvu za kiume ambali ni tatizo la wanaume wengi.Kitunguu thaumu pia kinajulikana kama asphrodiac kwa sababu huboresha mzunguko wa damu kwa kiwango cha juu.

~Utafiti wa kitabibu umethibitisha kwamba,kitunguu thaumu kinaweza kuamsha uzalishaji nitric oxide synthase[nos]ambacho kimsingi kinawajibika kwa utendaji kazi wa uume kusimama

~Kitunguu thaumu husaidia mzunguko wa damu mwilini na kuifanya mishipa ya neva na ateri kuwa kama kijana kwani kina mamia ya madini na virutubisho na hili kusimamisha uume barabara kimeng'enya kinachoitwa nitric oxide synthase na msombo uliomo ndani yake  uamsha  uzalishaji wa kimeng'enya hiki kwa watu wenye kiwango kidogo.


JINSI YA KUJITIBU
~Tafuna vidole 5 vya kitunguu thaumu kibichi kila siku.kitunguu thaumu kinaleta harufu mbaya mdomoni basi tafuta njia mbadala ya kukata harufu hiyo ili usiwaudhi wengine

KITUNGUU MAJI NA TANGAWIZI

~Kitunguu maji pia ni dawa nzuri kwa kutibu matatzo haya ya nguvu za kiume ni dawa inayofuatia baada ya kitunguu thaumu

~Vitunguu maji huongeza mbubujiko wa damu na,huongeza sana hamu ya tendo la ndoa  na huimarisha viungo vya uzazi

JINSI YA KUJITIBU
~Chukua vijiko3 vya juice ya kitunguu maji baada ya kukisaga na uchanganye na vijiko3 vya juice ya tangawizi baada ya kuisaga kula mara2 kwa siku huongeza nyege na nguvu ya ajabu katika tendo la ndoa 

~juice ya kitunguu maji ukichanganya na asalli ni zaidi ya VIAGRA


ASALI, YAI NA KAROTI


~Asali ni dawa yenye uwezo mkubwa kwa kutibu aina nyingi za maradhi bila kusababisha madhara[side effects]na asali ina faida kubwa katika tendo la ndoa kwa waliooa ni vyema wasikose asali chumbani mwao

JINSI YA KUJITIBU
~chukua yai lililochemshwa na uliroweke kwenye asali kisha ukatekate karoti kiasi cha kiganja1 kula mchanganyiko huu kwa muda wa miezi2 mfululizo utakuwa umejitibu kabisa matatizo ya nguvu za kiume na utaongeza nyege kupita kiasi

+255 653 532036.....WATSAPP
+255 764 995259
TIBAZETUTZ@GMAIL.COM